What's new?
Updated link!Kama ulikua unaitafuta fursa ya kujisajili kwa huduma ya Uni bundles hujachelewa. Vodacom wamekuletea tena fursa ya kusajili line yako ili uweze kupata ofa ya vifurushi vya mwanachuo.
Jinsi ya kujisajili.
Jaza taarifa zote zinazohitajika na fuata maelekezo
Comments :
Post a Comment
write to us your views on this