Jinsi ya kupata sarafu zaidi na wachezaji bora Dream league 2017. Free


Uhali gani. Karibu tena katika mtandao wako pendwa unaokuletea taarifa na mafunzo mbalimbali juu ya teknolojia kwa lugha yako ya Kiswahili.
Tumepokea maombi mengi sana juu ya namna ambavyo unaweza pata sarafu (coins) nyingi na wachezaji bora katika gemu la Dream league 2017. Na Leo basi tunatoa na Kakupa njia rahisi kabisa ambayo utaweza kuitumia na kufanikiwa ndani ya dakika moja tu! na tena yaweza kuwa sekunde chache tu.



Hatua.

1. Pakua gemu la Dream league 2017 kama hauna kupitia play store.

2. Pakua file lifuatalo.
Bofya hapa kupakua 

3. Fungua file manager ya simu yako na moja kwa moja fungua Android.
4. Click folder lenye jina la data.

5. Tafuta folder lenye data za gemu lako na lifungue.
6. Tafuta data file lililoandikwa profile.dat
Futa au hamisha (backup) kutoka katika folder hilo. Copy file ulilopakua hapo mwanzo na liweka kwenye folder ulilofuta au kutoa data (profile.dat) ya kwanza. 
Kabla hujaanza kufanya yote haya fungua gemu lako alafu click home button ya simu yako(ilikuliwezesha kufanya kazi in background).
Ukisha maliza kupest data zako mpya, sasa funga gemu lako na lianzishe upya.

Je umefanikiwa? Au je umekwama sehemu? Tuandikie hapo chini na tutakuwa Tayar kukusaidia.
Je ni gemu gani ungependa tukupe maujanja kama haya? Tuandikie hapo chini.
Endelea kutembea Magoiga2016.blogspot.com. Sambaza Upendo kwa wenzako pia.

Comments :

  1. Mbona mi nashindwa???

    ReplyDelete
    Replies
    1. habari,
      Naomba kujua unapata shida wap

      Delete
  2. Hilo file ni unsupported mbona inaniambia ivo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hello,
      file ni unsupported maana game pekee ndo linaweza lisoma. Ukisha pakua fuata maelekezo namna ya kuliweka na haitoleta shida. Asante

      Delete
  3. Sasa kwenye kukianzisha je ni unaanza upya kabisa au

    ReplyDelete

Post a Comment

write to us your views on this

Interested to get more of our Update !