namna ya kuhack Dream League Soccer 2018.


Uhali gani. Karibu tena katika mtandao wako pendwa unaokuletea taarifa na mafunzo mbalimbali juu ya teknolojia kwa lugha yako ya Kiswahili.
Tumepokea maombi mengi sana juu ya namna ambavyo unaweza pata sarafu (coins) nyingi na wachezaji bora katika gemu la Dream league 2018. Na Leo basi tunatoa na Kukupa njia rahisi kabisa ambayo utaweza kuitumia na kufanikiwa ndani ya dakika moja tu! na tena yaweza kuwa sekunde chache tu.

Fuata maelekezo kuanzia namba tatu, (Bofya hapa kuona maelekezo.). *TAFADHARI, fuata maelekezo ya kuanzia namba tatu/ 3 pekee! namba mbili hayafanani!* Baada ya  kupakua au kudownload file lifuatalo (Pakua / Download file.). Kumbuka file hili sio sawa na faili la maelezo ya posti yetu iliyohusu Dream League Soccer 2017!


furahia uchezaji wa magemu.
kama kuna gemu ungependa kusaidiwa kudukua tafadhali tujulishe hapo chini kwenye maoni/comments.

Comments :

  1. Enter your comment...fts2018 coins free

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hello,
      are you facing any challenges?

      Delete
  2. Enter your comment...Fts 2018 free coins

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hello,
      are you facing any challenges?

      Delete
  3. Napataje gemu la FIFA 2022 offline isiyo kuwa na mod ya 14 plz naombeni kujua

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hello,
      Kwa sasa hatuna lakini tutaifanyia kazi. kama unaweza tutumie email: info@magotech.net ilikukujulisha pindi litakapopatikana

      Delete

Post a Comment

write to us your views on this

Interested to get more of our Update !