Mtandao wa kijamii maarufu duniani kote ufahamikao kwa jina la WhatsApp haupo hewani tena na tatizo likiwa halijulikani. Inasemekana tatizo hili ni la dunia nzima, kwa sasa huwezi kufanya chochote na hata application zingine zikigoma kabisa hata kufunguka.
Tatizo hili linaonekana kuwa kubwa sana kutokana na kuadhiri watumiaji wengi sana lakini pia tatizo likisemekana na wataalamu kuwa server ndio zenye shida na Sio rahisi kulitatua.
Je una maoni gani juu ya tatizo hili?
Comments :
Post a Comment
write to us your views on this