Je ulishawahi kujiuliza swali kama hili!?
Katika ulimwengu wa sasa Google imekuwa sehemu kubwa ya maisha ya binadamu bila kujali rika au jinsia.

ogle ni tovuti kwenye mtandao inayotumiwa kwa kutafuta kurasa na habari za kila aina. Inatumia programu inayoitwa “mashine ya kutafuta” (search engine). Imepata mafanikio makubwa kati ya tovuti za aina hii na kila siku takriban watu milioni 200,000 wanaitumia.
Tovuti ni mali ya kampuni ya Google Inc. ya Marekani. Kampuni ilianzishwa mwaka 1998 na Larry Page and Sergey Brin wakati walipokuwa wanafunzi wa chuo kikuu. Matumizi ya google ni bure lakini kampuni ina mapato makubwa kutokana na matangazo ya kibiashara kwenye kurasa zake na thamani ya kampuni imekadiriwa kuwa mnamo bilioni za dolar
Kiasili google ilitengenezwa kwa kutafuta maneno kwenye tovuti na hadi leo hii matumizi yake ni makubwa. Lakini google imeendelea kuongeza huduma nyingine kama kutafuta picha (google images), kutafuta mahali kwenye ramani ya dunia (google maps), kutafuta habari kwenye wavuti ya magazeti (google news) na mengi mengine.
Nje ya huduma za kutafuta google imeanzisha pia huduma nyingine kama ‘google mail’ (huduma ya barua pepe) au huduma za kutunza kalenda na maandishi ya binafsi ya akaunti kwenye seva za google.
Hivi ndivyo vitakavyotokea endapo Google itakufa
1. Makampuni mengi yatapoteza mamilioni ya pesa na mengine kufilisika kabisa
2. Watu wengi watapoteza kazi zao hasa wale wataalamu wa mambo ya SEO. Ukosefu wa ajira utaongezeka kwa kiasi kikubwa
3. Uchumi utaathirika
4. Ubunifu utapata pengo kwani ‘project’ kibao kutoka Google zinazojulikana kama ‘Google X’ zitakufa hii ikiwemo na magari yanayojiendesha yenyewe.
5. Tovuti kama Facebook zitafurika kwani zinaweza zikawa ndio vituo vikuu vya habari tofauti tofauti.
6. Upinzani mkubwa sana utatokea kwa makampuni mengi makubwa yenye tovuti kama vile Facebook na Twitter katika kutaka kuzipa pengo la Google hasa katia umaarufu wake wa kutafuta (search) vitu mbalimbali.

Hiyo ni mitazamo baadhi tu, lakini pia waweza tuandikia muonekano wako juu ya swala hili.
Comments :
Post a Comment
write to us your views on this