Ni Mara nyingi sana tumekuwa tukijiuliza ya kuwa mtu anawezaje kutengeneza pesa kupitia blogu au tovuti? Je ni kweli kwamba wamiliki wa blogu na tovuti hulipwa? Na kama wanalipwa, vyanzo vya wao kulipia ni vipi?
Bila shaka hayo ni baadhi ya maswali ambayo tumekuwa tukijiuliza pale tunapokuwa tunakutana na vishawishi vya kutufanya kujiingiza katika teknolojia hii ya blogu na tovuti.
Ningependa kukuletea njia zitakazo kufanya wewe au kukuwezesha wewe kuweza kupata au kuingiza kipato.
Najua neno money blogging naweza kuwa Sio geni kwa wengi ambayo wanajihusisha na blogu au teknolojia kutokana na kuwa tunakutana nalo karibu kila siku, pia ni neno linalo eleweka.
Kwa kuanza twende moja kwa moja katika mada yetu ambayo ni namna ya kutengeneza pesa kupitia blog.
Njia hizi nimezigawanya katika vipengele kuu 7 na Ndani yake vimegawanyika pia, sasa kazi ni kwako wewe kuweza kuchagua ni kitu gani kinakufaa, lakini pia ni jukumu lako wewe kuweza kutafuta makampuni utakayoingia nayo mikataba.
1. ADVERTISING
•Ad networks
•Ambassadorships
•Sponsored posts
•Site wid sponsorships
•Sponsored social content
•Job boards
•Directories
•Newsletter advertising
•RSS advertising
•Text links
•Video advertising
•poadcast advertising
•competitions and give aways
2. AFFLIRITE MARKETING
•Afflirite networks
•Private afflirite programs
•Shopping sites
3. EVENTS
•Online summits, workshops, webinars
•Live events, conferences, meetups
4. RECURING REVENUE
•Private communities
•Premium content
•Coaching
5.SERVICES
•Freelancing
•Coaching
•Training
•Consulting
•Speaking
•Design
•copywritting
6. PRODUCTS
a) virtual
•eBooks
•Courses
•Software
•Reports
•Applications
•Printables.
b) physical
•Books
•Teaching materials
•Merchandise
7. OTHERS
•Donations
•Syndication
•Selling blogs
Baada ya kuwa tumetizama vitu hivyo hapo juu sasa kazi inabakia kwako wewe ambae ungetamani kuingiza kipato kupitia blog yako. Kumbuka blog unahitaji mtu mvumilivu, wa kujituma lakini pia mtu wa kujitoa kwa Kile akipendacho.
Kwa Leo tutaishia hapo, kumbuka kutembelea Magoiga2016.blogspot.com
Kila siku ili upate kuhabarika na teknolojia. Lakini pia kumbuka kuacha mchango, swali au ushauli na mwishoni kabisa subscribe kwa blog yetu uwe wa kwanza kuhabarika.

hongera sana
ReplyDeleteAsante na karibu tena
Delete