li-fi ni bora kuliko wifi

Mbinu mpya ya kusafirisha data ambayo hutumia mwangaza badala ya mawimbi ya radio imejaribiwa.Li-fi ina uwezo wa kumfanya mtumiaji kupata huduma ya mtandao mara 100 zaidi ya Wi-Fi na hutoa kasi ya hadi Gigabait moja kwa kila sekunde.


Li-Fi inahitaji mwangaza kama vile wa glopu,huduma ya mtandao na sensa ya picha Ilijaribiwa wiki hii na Velmenni mjini Tallinn Estonia.Velminni ilitumia glopu ya li-fi inayoweza kusafirisha data kwa kasi ya Gigabait moja kwa sekunde.

Jaribio la maabara limeonyesha kuwa li-fi ina kasi ya hadi Gigabait 224 kwa sekunde.Ilijaribiwa katika afisi ili kuwasaidia wafanyikazi kupata huduma ya mtandao na katika kiwanda ambapo iliweka mwangaza.

Comments :

Post a Comment

write to us your views on this

Interested to get more of our Update !