Sifa za Huwawei P10

Huawei P10 pamoja na P10 Plus ni moja kati ya simu ambazo zimetengenzwa na teknolojia mpya ya LEICA teknolojia hii ambayo inapatikana kwenye kamera nyingi za digital sasa imewezeshwa kwenye simu hizo huku ikiwekewa na lensi zenye mbili kwa nyumba zenye uwezo wa Megapixel 20 pamoja na Megapixel 12.




Pengine utashangaa kwanini nimeamua kuanza kueleza zaidi kuhusu kamera za simu hizi kutoka Huawei, ukweli ni kwamba Huawei imetumia nguvu kubwa sana kwenye kamera kuliko hata sehemu nyingine yoyote ya  simu hii. Tofauti na simu ya LG G6 ambayo yenyewe imetumia nguvu kubwa kwenye kioo cha simu yake.





Sifa za Huawei P10

Display P10: 5.2″ 1080p. P10 Plus: 5.5″ QHD
Processor Kirin 960, Mali-G71 MP8
RAM 4GB, 6GB (P10 Plus only)
Storage 64GB, 128GB (P10 Plus only)
Rear camera Leica Dual-Camera 2.0, 20MP monochrome & 12MP RGB, SUMMARIT-H F/2.2 (P10) or SUMMILUX-H F/1.8 (P10 Plus), OIS
Front camera 8MP F/1.9, AutoFocus (P10 Plus only)
Battery P10: 3200mAh. P10 Plus: 3750mAh.
Colors Ceramic White, Dazzling Blue, Dazzling Gold, Prestige Gold (P10 only), Graphite
Black, Mystic Silver, Rose Gold, Greenery
Finishes High Gloss, Hyper Diamond-Cut, Sandblast
Connectivity Dual SIM, USB-C, NFC, GPS, 4×4 LTE MIMO antenna system and 2×2 Wi-Fi MIMO antenna
Software Android Nougat with EMUI 5.1 skin
Size P10: 145.3 x 69.3 x 6.98mm, 145g. P10 Plus: 153.5 x 74.2 x 6.98mm, 165g
Huawei P10 yenye 4GB/64GB itauzwa kwa EUR 649 sawa na Tsh 1,600,000 na Huawei P10 Plus yenye 4GB/64GB itauzwa kwa EUR 699 sawa na Tsh 1,800,000 pamoja na Huawei P10 Plus yenye 6GB/128GB itauzwa kwa EUR 799 sawa na Tsh 2,000,000. Simu Hizo zote zitaanza kuingia sokoni kuanzia mwezi unaokuja yaani Mwezi March.


Kwa habari nyingine juu ya teknolojia tafadhari usisahau kutembelea Magoiga2016.blogspot.com au kupakua application rasmi ya magoiga2016 kwa kubofya HAPA.
Application hii haihitaji malipo ni bure kwa Kila mmoja.

Comments :

Post a Comment

write to us your views on this

Interested to get more of our Update !