Pata majibu ya hesabu kwa kupiga Picha swali

Teknolojia imekua sana kiasi kwamba sasa huna haja ya kupoteza wakati kufanya hesabu kwa muda mrefu bali sasa unachotakiwa kufanya ni kupiga picha swali lako kisha Photomath itakupa majibu kiurahisi kabisa na moja kwa moja.


Programu ya Photomath inakupa masaada wa kufanya hesabu hizo hatua kwa hatua pamoja na kukupa majibu kiurahisi kabisa, kama bado hujui hesabu kama X equals 4, basi programu hii itakufundisha. Kama unataka programu hii ya Photomath inapatikana kupitia Play Store uku ikikupa uwezo wa kuitumia bure na kama unataka sehemu kubwa ya App hito unaweza kununua… kiukwelii ni sawa kabisa hata kununua usijali we jaribu alafu niambie kwenye maoni hapo chini.
Tazama video fupi kwa kubofya link ifuatayo
<iframe width="324" height="399" src="https://www.youtube.com/embed/oXn9NuUmhDM?ecver=1" frameborder="0" allowfullscreen></iframe> 

Comments :

Post a Comment

write to us your views on this

Interested to get more of our Update !