Hizi ni mpya!
Je ulishawahi kusikia au kuona betri yenye uwezo wa kuzima moto pindi linapotaka kulipuka?
Watafiti wamefanikiwa kutengeneza betri la simu aina ya lithium-ion lenye uwezo wa kuzima moto kama betri la simu likitaka kuungua.
kemikali zinazohusika na kuzia moto wa aina yeyote, zimewekwa sambamba na mjumuiko wa kemikali zinazohifadhi chaji, electrolyte fluid, ndani ya betri. kwa namna yeyote ile kama joto katika mjumuiko huo wa electrolyte utafika nyuzi joto 150 za sentigredi au basi kemikali za kuzuia moto zitaachiwa ndani ya betri husika na kuzima uwezekano wowote wa moto au mlipuko wa betri.
katika majaribio yake yameonyesha moto aina yeyote unaweza kuzimya ndani ndani ya sekunde 0.4
teknolojia hii (betri zima) linaweza tengenezwa na watafiti wa chuo cha Stanford cha jijini Calfornia cha nchini Marekani. Mabetri ya Lithium-ion ndiyo yanayotumika katika vifaa vingi vya elektroniki, ila makosa madogo katika utengenezaji wake yanaweza sababisha matatizo ya mlipuko.

Comments :
Post a Comment
write to us your views on this