Apple kuhamishia utengenezaji Marekani? Pagumu, makampuni shiriki ya China yasema hayatahama.
Apple ni moja ya makampuni makubwa zaidi Marekani na duniani kote, lakini ukweli ni kwamba kwa zaidi ya asilimia 90 ya utengenezaji wa simu na tabelti zake (iPhones na iPad) huwa unafanyika nchini China zaidi, vingine Taiwan na Korea Kusini na si Marekani.
Mshindi wa Urais wa nchini Marekani, Bwana Donald Trump ameweka suala la makampuni ya nchini humu kuzalisha bidhaa zao ndani ya Marekani kama moja ya sera zake muhimu. Ametishia kuadhibu makampuni ambayo hayatafanya hivyo kwa kodi kubwa zaidi ya iliyopo sasa.
Kwa Apple, kikubwa kwa ofisi zake kuu nchini Marekani ni uongozi wa kiubunifu na mauzo, ila suala zima la utengenezaji hufanywa kupitia muunganisho wa sehemu mbalimbali za bidhaa hizo zinazotengenezwa kupitia makampuni kadhaa nchini China.

Comments :
Post a Comment
write to us your views on this