Factory reset

WATAFITI; "Sio kweli kuwa factory reset hufuta data zako zote zilizopo kwenye simu."
 Habari kubwa kwa usalama wa watumiaji wa simu aina android ni kwamba watafiti ulimwenguni wamebaini ya kuwa data za mtumiaji wa android ziko hatarini kudukuliwa hata kama mtumiaji atazifuta kwa njia ya Factory Reset.
 Watafiti hao wamebaini haya baada ya kufanya majaribio katika simu za android kutoka katika makampuni mbalimbali na makubwa duniani ikiwemo Google.


Nini maana ya Data?
Data ni mafaili ya aina yoyote unayo hifadi katika kifaa chako cha kieletroniki. Data hizi zinaweza kuwa picha, video, barua pepe n.k


Comments :

Post a Comment

write to us your views on this

Interested to get more of our Update !