Je wajua usalama wako ni wa muhimu zaidi!?
Sasa google wamekuja na application mpya kwa Jina la Trusted Contacts. Application hii itaweza kufanya mambo yafuatayo:1: Mtu anapokudanganya alipo unaweza ukaangalia alipo kupitia application hii.
2: Pia kupia application hii unapo kuwa matatizoni hutuma ujumbe kwa watu wako wa karibu, ukionyesha eneo ulipo.
3: Unapokuwa umepotea kama mtaani. Watu wengi wamekuwa wakipotea Hasa wanapofika sehemu ambayo wao ni wageni, kupitia application hii unaweza ukaombwa kuonyeshwa ulipo na vielelezo vingine kuhusu eneo husika.
Safi sanaaaaaa
ReplyDelete