mpinzani wa WhatsApp

Hike dhidi ya WhatsApp India;
Mtandao wa Hike unaweza ukawa mgeni kwa wengi wetu. Lakini kwa nchini India huu umekuwa ni mtandao ambao unapambana na mtandao maarufu duniani WhatsApp kwa swala la kipato. Hike ni mtandao ulioanzishwa mwaka 2012 na mpaka sasa unasemekana kuwa na dhamani ya bilioni 1.4$.

Kumbuka kuwa WhatsApp ilianzishwa mwaka 2009 na mpaka mwaka 2013 ulikuwa na dhamani ya bilioni 1.5$ kwa dunia nzima.
Mpaka hapo unaweza kuona kuna utofauti kuwa Hike ndani ya miaka minne imekuwa na dhamani ya bilioni 1.4$ kwa nchini India pekee akati WhatsApp ukiwa na dhamani ya bilioni 1.5$ kwa dunia nzima.

Comments :

Post a Comment

write to us your views on this

Interested to get more of our Update !