JE wewe ni moja kati ya wengi ambao hukosea kutuma ujumbe katika mtandao wa WhatsApp? Na ungependa kuufuta kabla haujasomwa?
WhatsApp sasa wamegundua njia itakayo mwezesha mtu aliyetuma ujumbe kimakosa kuweza kuufuta au kuufanyia marekebisho kabla ya mtumiwa kuusoma.
Lakini kampuni hiyo imebainisha kuwa kitendo hicho kitaweza kufanikiwa iwapo tu mtumiwa bado hajausoma ujumbe. Kwa maneno mengine twaweza sema ujumbe ukishasomwa huwezi kuufuta au kubadilisha au kubolesha
WhatsApp wenyewe hawajatoa taarifa rasmi juu ya lini uwezo huo utakuja kwa watumiaji wote wa WhatsApp. Kikubwa ni kwamba ni kitu ambacho tukitegemee kuja katika toleo lolote jipya kwa sasa.

Comments :
Post a Comment
write to us your views on this