Je kuna naja ya wewe kuwa na antivirus kwenye simu yako ya Android!?
Asilimia kubwa sana ya watu wamekuwa wakihangaika kutafuta na kupakua antivirus kwa ajili ya hofu ya uwezekano wa simu zao kuweza kuingiliwa na virusi. Lakini ukweli ni kwamba asilimia 90 ya android zenye antivirus za kupakuliwa haina KAZI, japo wamiliki huona zinasaidia.
Kama waga hupakui applications kutoka nje ya play store basis hakuna naja ya wewe kuwa na antivirus, maana applications zote zinazopatikana play store ni salama... Lakini kama wewe ni mmoja wa wale wanao pakua applications nje ya play store basis asilimia 100 antivirus inakuhusu.

Santeni kwa kutujulisha...
ReplyDelete