Ongeza kipato

JE WAJUA!?
Sasa unaweza kuongeza kipato chako kwa kumiliki tovuti!? Hakika hili neno "tovuti" linaweza kuwa geni kwa wengine lakini tumezoea kuliita "website" ikiwa ni katika lugha ya kimombo.
Ukiweza kumiliki tovuti sasa unaweza kufanya kuwa sehemu ya kujipatia kipato.!  Kivipi?
Unapomiliki tovuti, unganisha blog yako na matangazo. Na kupitia matangazo hayo utapokea pesa. Lakini pia Fanyatovuti yako itembelewe na watu wengi na kupitia MB zao wewe utalipwa.
Jifunze zaidi

Comments :

Post a Comment

write to us your views on this

Interested to get more of our Update !